Ta Ha 20:60 فتولى فرعون فجمع كيده ثم اتى ٦٠
فَتَوَلَّىٰ
فِرۡعَوۡنُ
فَجَمَعَ
كَيۡدَهُۥ
ثُمَّ
أَتَىٰ
٦٠
Basi Firauni akarudi na akatengeneza hila yake, kisha akaja.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo Fir'awn aliyapa mgongo hali ya kuyapuuza yale ya ukweli aliyoletewa na Mūsā na akawakusanya wachawi wake, na baada yake akaja katika kipindi cha mkusanyiko.
Hapo Fir'awn aliyapa mgongo hali ya kuyapuuza yale ya ukweli aliyoletewa na Mūsā na akawakusanya wachawi wake, na baada yake akaja katika kipindi cha …